2 Kings 15:19

19 aKisha Pulu mfalme wa Ashuru akaishambulia Israeli. Menahemu mfalme wa Israeli akampa talanta elfu moja za fedha
Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34.
ili amsaidie na kumwezesha katika utawala wake.
Copyright information for SwhKC